VITABU MUHIMU VYA KUSOMA
kwa wakati Kama huu usipoteze fedha na muda kusoma udaku , kuna vitabu vya muhimu kusomwa na kila Mtu katika ulimwengu wetu.
Ikiwa ni juma la maombi kupitia Idara ya Uchapishaji; Hebu na uchukue hatua ya kusoma na kugawa angalau kitabu kimoja kwa ajili ya rafiki yako.
1) PAMBANO KUUU - kitabu hiki kinaelezea PAMBANO KUU katika ya wema na uovu kwa uwazi KABISAA,kinaelezea pambano lolilopo katika Kristo na shetani na mawakala wake ,kinaelezea Maendeleo ya pambano kati ya KWELI NA UDANDANYIFU ,kinaelezea Vita KUU kati ya BIBLIA NA MAPOKEA KWA UWAZI ..hiki ni kitabu kinachofuatia Biblia kwa Ubora ,ukitoa Biblia kitabu hiki kinashika nafasi ya KWANZA
2) MATUKIO YA SIKU ZA MWISHO -kitabu kinaelezea yanayoendeelea kutokea katika ulimwengu wa leo mpaka Mwisho wa wakati
3) WAZEE NA MANABII
4) MANABII NA WAFALME
5) TUMAINI LA VIZAZI VYOTE
6) DHIKI KUU INAKUJA LAKINI KUNA TUMAINI
7) KITABU CHA DANIELI
8) KITABU CHA UFUNUO
9) taja kitabu unavhozani ni muhimu kusomwa kwa wakati huu ?
"Tufani inakuja, nasi yatupasa kuwa tayari kukabiliana na ghadhabu yake kwa njia ya kuwa na toba kwa Mungu na imani kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Bwana atasimama kuitetemesha sana dunia hii. Tutaona dhiki pande zote. Maelfu ya meli yatazamishwa chini ya vilindi vya bahari.
Majeshi ya wanamaji yatazama chini, na maisha ya wanadamu yatatolewa mhanga kwa mamilioni. Mioto itawaka bila kutazamia, wala hakuna juhudi iwayo yote ya kibinadamu itakayoweza kuizima.
Majumba ya kifalme ya duniani humu yatafagiliwa mbali katika ukali wa ndimi za mioto hiyo.
Ajali katika njia za reli zitazidi kuongezeka mara kwa mara; kiwewe, migongano, na VIFO BILA HATA TAARIFA MOJA KATIKA NJIA KUU ZOTE ZA USAFIRI VITATOKEA. Mwisho umekaribia, mlango wa rehema [karibu] unafungwa. Hebu na tumtafute Mungu maadamu anapatikana, tumwite maadamu yu karibu!" MYP 89,90.

Comments
Post a Comment