WAKATI TAABU ITAKAPOKOMA

Bwana Yesu asifiwe Sana...!
Tunapoendelea na juma la maombi kupitia Idara ya Uchapishaji... 
Tunakumbushwa kwamba tunapaswa kutumika shambani mwa Bwana kwa kujitoa kikamilifu kufanya kazi ya Mungu aliyotutuma tufanye katika Mathayo 28:18-20
Mungu anatuhitaji tuwafundishe wenzetu habari njema ya wokovu wetu.

Hivyo, Kupitia juma hili tunakumbushwa kugawa kitabu cha WAKATI TAABU ITAKAPOKOMA.
Kitabu hiki kinauzwa Tsh. 2,500/- tu. Nikusihi muumini mwenzangu kwa moyo mkunjufu, hebu jitoe, na umwombe Mungu akusaidie ili ugawe kitabu hiki.

Kwa maelekezo zaidi tumia namba hizi +255683645322 Mungu akubariki sana unapojitoa.

Comments

Popular posts from this blog

KALENDA RASMI YA MATUKIO YA KANISA - SEC 2020