KALENDA RASMI YA MATUKIO YA KANISA - SEC 2020


KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
JIMBO LA KUSINI MASHARIKI MWA TANZANIA
KALENDA YA MATUKIO SEC 2020
TAREHE
Siku
TUKIO (MATUKIO)
NGAZI HUSIKA
JANUARY



Jan 4
Jumamosi
Siku ya kuomba na Kufunga
GC – R & RCom
Jan 8 - 18
Jumatano- Jumamosi
Siku kumi za Kuomba na Kufunga
GC R & RCom
Jan 11 - 12
Jumamosi – Jumapili
Semina ya Waratibu wa Muziki Makanisani
SEC
Jan 17 –Febr 1
IJumaaaa – Jumamosi
Mahubiri ya TMI– JiJi la Kampala
ECD
24 – 28
IJumaaaa – Jumanne
Women’s and Children Ministries Congress
ECD
29 – Febr 1
Jumatano - Jumamosi
ECD Mission Extravaganza
ECD




FEBRUARY



 4 – 8
Jumatano- Jumamosi
Kambi la Wachungaji
SEC
15 - 22
Jumamosi - Jumamosi
Juma la Maombi la Uwakili
ECD
8 – 15
Jumamosi - Jumamosi
Juma la Maombi la Familia
GC
 Feb 17 – Mar 7
Jumamosi - Jumamosi
Mungu Kwanza Chato 2020 Net Event
STU/NTUC




MARCH



7
Jumamosi
Siku ya Maombi ya Wanawake
GC
14
Jumamosi
Siku ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni
GC
21
Jumamosi
Siku ya watoto Ulimwenguni
GC
21
Jumamosi
Siku ya vijana ya Ulimwengu
GC
22 – 28
Jumapili – Jumamosi
Juma la Maombi la Vijana
GC
15 – 22
Jumapili – Jumapili
Wiki ya Uwakili kwa Wachungaji
STU




APRIL



Apr 4
Jumamosi
Siku maalum ya Kuomba na Kufunga
GC R & Rcomm
Apr  4
Jumamosi
Kuwaweka wakfu Vijana Kiroho
R & Rcom
Apr  8-11
Jumatano - Jumamosi
Kongamano la Waalimu na Viongozi wa Shule ya Sabato
SEC SS
Apr 11
Jumamosi
Sabato ya Uwakili
SEC
Apr 12-18
Jumapili - Jumamosi
Kongamano la Walei
STU
Apr 12 – 18
Jumamosi - Jumamosi
Juma la Maombi la Idara ya Uchapishaji
STU PUB
Apr 11
Jumamosi
Marafiki wa Matumaini (Sabato ya Wageni)
ECD
Apr 18 - 24
Jumamosi – iJumaa
Rally za Idara ya Uchapishaji
ECD PUB
Apr 18
Jumamosi
Siku ya Kusambaza Kitabu cha Utume
ECD PUB
Apr 25
Jumamosi
Siku ya Kuhamasisha Idara ya Watu wenye Mahitaji Maalum
GC SNM




MAY



May 2 – 9
Jumamosi - Jumamosi
Juma la Maombi la Uwakili
ECD ST
May  2
Jumamosi
Kuufikia Ulimwengu: NJia za Mawasiliano
GC
May 2 – 23
Jumatatu- Jumatatu
Mwezi wa Kupinga Madawa ya Kulevya
GC
May 9 – 30
Jumamosi - Jumamosi
Mahubiri ya AMR/TMI 200,000
SEC
May 1 – 31
IJumaa- Jumamosi
Mahubiri ya TMI ya Idara ya Huduma za Uchapishaji
ECD
May 11
Jumamosi
Siku ya maombi ya Elimu ya Kikristo
ECD
May 23
Jumamosi
Siku ya Kuombea watoto wanaoishi katika mazingira Magumu
GC




JUNE



Jun 6 – 13
Jumamosi– Jumamosi
Juma la Mauzo la Wainjilisti wa Vitabu
STU Publ
Jun  6
Jumamosi
Kuufikia Ulimwengu: Mafunzo ya Shule ya Sabato
GC SS
Jun  14
Jumapili
Siku ya Monyesho ya Vitabu
STU Publ
Jun  14-20
Jumapili– Jumamosi
Makambi ya Vijana
SEC YOU
Jun  13
Jumamosi
Siku ya Maombi ya Wanawake
GC WM
Jun  20
Jumamosi
Kuufikia Ulimwengu: Kuwalea Washiriki na kuwarejesha walio rudi nyuma
GC SSPM
Jun  27
Jumamosi
Siku ya Wakimbizi Duniani
GC




JULY



Jul  4
Jumamosi
Siku ya Maombi na Kufunga
R & RCom
Jul 11
Jumamosi
Siku ya Kuhamasisha Utume: Utume Ulimwenguni
GC AM
Jul 18
Jumamosi
Kuufikia Ulimwengu: Vyombo vya habari
GC Comm.
Jul 25
Jumamosi
Siku Maalum ya Watoto
GC CHM




AUGUST



Aug 1
Jumamosi
Siku Maalum ya Kuhamsisha UinJilisti (Global Mission)
ECD AM
Aug 8
Jumamosi
Kuufikia Ulimwengu: UpandaJi wa Makanisa
GC AM
Aug 15
Jumamosi
Siku ya Elimu ya Kikristo
GC EDU
Aug 22
Jumamosi
Komesha Ukatili sasa (Endit Now)
GC WM
Aug 29
Jumamosi
Siku ya Kuhamisisha UinJilist wa Walei
ECD








SEPTEMBER



Sept 5
Jumamosi
Sherehe za Kuwaweka Wakfu Vijana
ECD
Sept 6 – 12
Jumapili- Jumamosi
Wiki ya Maombi ya Familia
GC FM
Sept 12
Jumamosi
Kuhamasisha Utume : Fursa isiyo ya Kawaida
GC AM
Sept 19
Jumamosi
Siku ya Watafuta Njia
GC YOU
Sept 26
Jumamosi
Siku ya Sabato ya Wageni
ECD




OCTOBER



Oct 3
Jumamosi
Siku ya Kuomba na Kufunga
GC R & RComm.
Oct 10
Jumamosi
Siku ya Kutambua Huduma ya Mchungaji
GC MIN
Oct 14 -20
Jumatano- Jumanne
Wiki ya Maombia ya Roho ya Unabii (SOP)
STU
Oct 16 – 18
IJumaa – Jumapili
Mikutano ya Hadhara Vyuoni (Public Campus Mnistries Weekend )
GC PCM
Oct 29
Jumamosi
Sabato ya Uwakili
SEC
Oct 17
Jumamosi
Siku ya Roho ya Unabii na Urithi wa Kiadventista
GC White Estate




NOVEMBER



Nov 7 – 14
Jumamosi- Jumamosi
Juma la Maombi (Adventist Review)
GC R & RComm
Nov 14 – 20
Jumamosi- IJumaa
Juma la Maombi kwa Vijana Wadogo na Wakubwa
GC YOU
Nov 21
Jumamosi
Siku ya Maombi kwa Yatima na watoto wanaoishi kwenye mazingira Magumu
GC SNM
Nov 28
Jumamosi
Siku ya Kuhamasisha Uelewa Kuhusu HIV/AIDS
GC AAIM
Nov 21 - 28
Jumamosi - Jumamosi
Juma la maombi la Uwakili
STU




DECEMBER



Dec 5
Jumamosi
Sabato ya Uwakili
ECD
Dec 12
Jumamosi
Sabato ya Kuhamasisha Huduma za Afya
ECD


Comments

Popular posts from this blog