Posts

Showing posts from May, 2020
Image
UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA Mch. TED WILSON RAIS WA KONFERENSI KUU LA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO (GENERAL CONFERENCE) Ninayo furaha sana kukutana nani juma hili, Ndiyo na nyie wapendwa waumini wa Kanisa duniani kote. Mungu ameweza kuilinda na kuitunza Kanisa lake. Ni kwa Neema ya Mungu mmelindwa juma hili. Hivyo kuwa mtu wa tumaini katika Bwana, Ni hakika tutashinda (tuavuka) salama katika hili. Na mnayo nafasi kama TMI (Total Member Involvement) kushiriki/kuhusiana na watu kwa kutumia Barakoa yako, kukaa katika umbali unaopendekezwa. Lakini Yawezekana kuna muumini/ babu au bibi ambaye hawezi kupata chakula, waweza kumsaidia: yawezekana pia Yupo mtu fulani ambaye anahitaji  Barakoa na unajua pa kuzipata, waweza pia kumsaidia. Yaewezekana pia kuna wale ambao wanahitaji  fulani maalum na kwa namna fulani unaweza kuwatia moyo. Ebu angalau wapigie hata simu na kuwapa maneno ya faraja kuwa "Hakika tutapita katika hili kwa rehema za Mungu". Na unapofanya hivyo unaweza kutang...