Mungu wetu wa mbinguni anatupenda upeo na ndio maana alitupatia, siku sita (6) kwa ajili ya kufanya kazi na leo ametupatia siku pekee, siku alioibariki na kuitakasa kwa ajili ya mapumziko. Nasi kama alivyotupatia tunapaswa kuitunza na kuitakasa.
Mungu akubariki sana unapoitunza siku hii ya mapumziko ukitafakari Isaya 58:13,14.
SABATO NJEMA WATU WA MUNGU.
Mungu akubariki sana unapoitunza siku hii ya mapumziko ukitafakari Isaya 58:13,14.
SABATO NJEMA WATU WA MUNGU.

Comments
Post a Comment